mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi (1timotheo 4:12)
je wewe ni kielelezo?, kama jibu lako ni NDIO hongera, kama jibu lako ni HAPANA mimi binafsi namwomba Mungu akusaidie ili ujana wako usidharaulike.
vijana wengi wamekuwa wakijitahidi kuwa kielelezo lakini shetani amewakwamisha kwa kiwango kikubwa sana,
NDUGU amua sasa kubadili maisha yako na kumwambia YESU akutyengeneze. maisha yako yabadilike na kuwa MAISHA BORA NDANI YA YESU
Mungu akubariki sana mpendwa.