Pages

Friday, November 23, 2012

KARIBU NDUGU MPENDWA

karibu sana Rij company tumtumikie Mungu.

ukitaka kupata mambo mengi zaidi ya kukusaidia, kama vile neno la Mungu na mengineyo; usisite kubonyeza katika vitufe vya pages, yaani HOME au WORD au PICS na kadhalika.

bonyeza WORD ili upate masomo mbalimbali ya kukujenga kiroho.

somo lililopo sasa katika WORD ni : SOMA NENO, TAFAKARI NENO, TENDA NENO
nakukaribisha sana ulisome kwani limekuwa msaada kwa watu wengi, najua nawe litakusaidia.

karibu

No comments:

Post a Comment